AgaiiiinnnnDaah jirani kuna Neybright nimemwona roho imeruka...jirani isijekuwa yaleyale mnishauri kabla sijagongea jmn
Shalom mtumishi, umeamka salama???Shalom Ney
AiseeeeAliugua, Mimi nilimwambia husna hawezi kuwa mwanamke hata lugha yake siyo ya kidada.
Jirani akasema "nyie wanawake zenu kuoneana wivu" nikasema sawaaa.
Hadi sasa hivi akili haijamkaa sawa itabidi aende Nairobi kwa phycologists
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliugua, Mimi nilimwambia husna hawezi kuwa mwanamke hata lugha yake siyo ya kidada.
Jirani akasema "nyie wanawake zenu kuoneana wivu" nikasema sawaaa.
Hadi sasa hivi akili haijamkaa sawa itabidi aende Nairobi kwa phycologists
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmhChichat akili mu kichwa dada
E =Erick otienoHizo dots veeepe
Ile ya Roma???????????Nitakuficha kabisaa kwenye ile noah nyeusi
Hahahaaaaa unajua ninachekaaa, halafu nimegombana na MTU sasa nacheka kwa sauti anajua namcheka yyNitakuficha kabisaa kwenye ile noah nyeusi
Chemba siji, sakayo atanisema halafu nimeweka wazi kuna mtu nimemwona humu. Nikirusha jiwe ataniambia baki chemba na neiba yako, sijiiii
Ni mdogo wangu lazima nimwamini ujue, akusingizie ili iweje kakaDada utamwamini huyu maasai
Ney ukuje hukuu
Dada akee yule chizi si aliniquote ujinga wake kwa I'd yake ya kike ameshapumzika bandani akuje sasa na ile ya kiumeEti Kagame ni kweeeli uliposa dume?????!!! Ndo maana ukapotea eeehh
Ntakwambia nikirudi kaziniMmmmh
Hii ni zaidi ya chit-chat Kagame, we nidokeze tuu
Nishamwambia Ney hana shida
Mama wa night kaliii jana uliishia wapiiiNipo poa mamii namshukuru Mungu kwakweli.
Hivi husna hana mdogo wake wa kike jamaniiE =Erick otieno
Hahahahahaaaaa jirani ana hasira hata baada ya jinsia ya husna kubadilika bado hajakata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaee