Jamaaa alikuwa ameshazama mazima siunajua ukipenda hauoniHahaha
Nasikia aliliwa nauli na dada mtu kumbe ni dume bwana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Dada mbona wanijua mimiHahaha
Nasikia aliliwa nauli na dada mtu kumbe ni dume bwana
Am here Kagame....kunani humu!Nawapisha mjimwage ngoja niwajibike.
Mkimwona witnessj mniite...
Alienda na nauli alituma, sasa kapata msongoHaina shida mpenzi nipo kwa ajili ya wahanga kama yeye, kwani bado anasumbuliwa na lile tatizo la pm au siku ile hakwenda pm kwa kakadada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaitwa Nasra anasoma chuo[emoji23]
Nahisi itakuwa Zion collage
Nilikumiss sana rafiki yangu
Nakumbuka hadi ulinitolea lugha na maneno machafu kuwa mm nakupeperushia ndege wako Mkuu sitosahauSergio 5 hivi unaona aibu hadi aibu yako uihamishie kwangu eee[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ulimvyomdai Nasra hadi ulitia huruma
HeeeAtakufwaaaaa jomoni ebu muonee huruma
Hahaha[emoji15] [emoji15] hapana mkuu unanisingizia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf unakumbuka ulisema money talk kamdanganya ameshaachwaHeee
Hiyo huruma veeepe, jana alivyotuita viherehere
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaaani wewe ni fundi wa uongo balaaaNakumbuka hadi ulinitolea lugha na maneno machafu kuwa mm nakupeperushia ndege wako Mkuu sitosahau
Ni kweli mpz, sikutaka kuruka page ili nione mtapewa vichambo au mafundisho,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me mzima dear na ni lazima umalize
Na kweeeli... Pole yake tuJamaaa alikuwa ameshazama mazima siunajua ukipenda hauoni
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asanteh mpz, na kwako pia.
Alfu ujue mnatuchora tu tusije kuwekana uchi hapaHahaha
Mbona mnageukanaa
Sio kwa le boss bhanaa..... Akili zako zilihamaaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] Dada mbona wanijua mimi
Sio wa spot spot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli mpz, sikutaka kuruka page ili nione mtapewa vichambo au mafundisho,
Nilifurahi kukutana na mafundisho
Na mieee niliona hilo ujueNakumbuka hadi ulinitolea lugha na maneno machafu kuwa mm nakupeperushia ndege wako Mkuu sitosahau
Mnawekanaje uchi tena jamanAlfu ujue mnatuchora tu tusije kuwekana uchi hapa