Nashangaa hata mie. Hawachelewi kuja ishafika page ya 20.Hawa ndugu wengine sijui wanazurulia wapi jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashangaa hata mie. Hawachelewi kuja ishafika page ya 20.
Ngoja tuone sapuraiziiiiAisee. Kumeshakucha kumbe lol. Sijui leo zamu ya nani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante kwa kuniwaia siti.
Kweli kabisa ila nashangaa muda ndio unazidi kwenda.Ngoja tuone sapuraiziiii
Bora nlale.... Mtaniamsha jamaniiKweli kabisa ila nashangaa muda ndio unazidi kwenda.
Usijali lala tu sie tupo tutakuamsha.Bora nlale.... Mtaniamsha jamanii
Sawa SawaaaaUsijali lala tu sie tupo tutakuamsha.
Unazingua bwanaa.... Tunaondoka sieMgeni wetu atakuwa hapa dakika 15 zijazo
DJ sepetu
Kwa ufupi mimi ni mziwanda katika familia ya watoto wa5 mabinti wa4 wa kiume mmoja! Nimekulia katika familia ya kimaadili mtoto wa kanisa!Viherehere hao!!!
Tupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
Nipo hapaaaShunie ukuje, emmyta amkaa bhasi.... Linamooo.... Ukhuty...... Youngblood.....
Kumbe hujalala bado bora ata. Mi nshaamka tayari.Shunie ukuje, emmyta amkaa bhasi.... Linamooo.... Ukhuty...... Youngblood.....