hahahaha niko pamoja nawe kwenye kucheka japo nilichelewa kufika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakayo ebu ukuje siwezi kucheka peke angu kupatwa kwa muosha naniliu leo moneytalk sio mtu mzuri kabisa
SanteeeeMoneytalk hana shida kabisaa ujue.... Muosha naniliuu ana mambo yake
kwakwel, bora tuendelee na mengineyo haya yafike mwisho sasaApambane tu na hali yake
Haleluya, barikiwa sana mkuu muosha rungu [emoji120]Kuanzia Leo nimekuacha unaniteta pembeni!!
Mwanamke gan unamteta mpenzi wako na shoga yako pembeni
DJ sepetu
me sikuwa kwenye hiyo foleni buana, tuendelee na enterviewNimepunguza tu foleni!
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbaya wewe muosha naniliu katoa povu ujue si kwa kuachwa huku
Woiiiiiiiiiio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpeleke mwenzetu kule juu! Hv mhusika kesharudi?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajuana hao
Hallelujah
Hv mrembo ushahojiwa na huyu muosha hebu nitag kwenye uzi wako! Im in love with your avatarHallelujah
Mambo usiyoyataka hayo ujue nimekufikilia sana inahusu kutupa faida ndio mambo ya viben 10 hayo dada [emoji1][emoji1][emoji1] moneytalk uwage unaangalia age ya mtu ujueHallelujah
Wooow..... Thanks honey!!!!Hv mrembo ushahojiwa na huyu muosha hebu nitag kwenye uzi wako! Im in love with your avatar
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa mdogo wangu, awe makini tuu sasaMambo usiyoyataka hayo ujue nimekufikilia sana inahusu kutupa faida ndio mambo ya viben 10 hayo dada [emoji1][emoji1][emoji1] moneytalk uwage unaangalia age ya mtu ujue