Live interview with Mrembo on muosha rungu show

What are your strength, weaknesses...

hobbies

interest



Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mungu ndio nguvu yangu! Ndio uimara wangu

Mimi bwana ni mbena, tuna hasira kama za mkwawa huo ndio udhaifu wangu sipendi kuonewa[emoji3]
Hobbies napenda kuogelea japo sahz nimeacha nimeahamia humu Jf! Napendelea kuwa kwenye mikusanyiko ya Dini pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio waTanzania wanahitaji elimu ya mtandao!
Walio wengi bado hawajui kama mitandao ina faida kubwa! Hasa kubwa ni kupata news mapema! Kuuweka ulimwengu karibu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uonavyo elimu inatolewa vya kutosha?? Sheria ya makosa ya mtandao ipo lakini bado watu wanapost vitu vya ajabu ajabu vya uchochezi na visivyo vya maadili lakini hawakamatwi wengine...nini kifanyike??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Ni kweli Mungu ni muweza wa yote...

Unatumia mbinu gani kudhibiti mihemko ya hasira kwa Mumeo, je mmoja wenu huwa anajishusha chini kukubali yaishe au ndio kikiwaka ni wote hamuelewani kwa maana umesema hupendi kuonewa?!

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hamna nikitaka nitabadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa ukumbuke kujibu na haya[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Jambo lipi unajutia na hutolisahau maishani mwako??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Unaaamini katika falsafa ya 50 kwa 50???

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ukiwa kama mwanamke wa kitanzania unaonaje nafasi ya wanawake wenzio katika utoaji wa maoni katika ngazi mbalimbali za Maaamuzi

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Ndaga, hivi hizi interview zako kwanini kila siku ni wanawake tu! Kwanini kina rayyoung jnr na sisi wanaume hatuitwi?

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahaa swali zuri! Nashukuru Mungu tunajuana sana yeye akikosea huwa mkweli anakiri namm pia! Japokua ikitokea nimeudhika huwa namwambia alipokosea! No one is perfect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana, je ni changamoto zipi unazopitia katika biashara na ufugaji?? unawapa hamasa ipi vijana kuhusu kujiajiri?

Sent from my iDevice using Tapatalk
Changamoto ya sasa biashara upande wangu imekua ngumu wateja wanalalamika usawa mgumu! Hivyo kaduka kangu kanguo nimeshakafunga maana watu sahv hawavai nguo mpya wanarudia za zamani

Lakini mimi nashauri vijana wenzangu wajiajiri maana kila kitu kina faida na hasara! Kuna wakati faida inakuwa kubwa kuna wakati unapata hasara! Ndivyo ilivyo all in all kujiajiri ni jambo jema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavyosema hodari ina maana kuna kitu cha kijasiri au tofauti umefanya ,, ni kipi hicho??

Sent from my iDevice using Tapatalk
Mazingira niliyopo mimi wanawake bado hawajaamka sana! Asilimia kubwa ya wajasiliamali wanawake ukimuuliza unakuta ni mtu tokea mkoa! Wazawa ni watu wa nyumbani tu
Kwahiyo ndio maana nimesema hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uonavyo elimu inatolewa vya kutosha?? Sheria ya makosa ya mtandao ipo lakini bado watu wanapost vitu vya ajabu ajabu vya uchochezi na visivyo vya maadili lakini hawakamatwi wengine...nini kifanyike??

Sent from my iDevice using Tapatalk
Elimu bado haitolewi vya kutosha! Ila kidogokidogo tutafika! Waelimishaji waendelee kuelimisha jamii itafika mahali tutaelewa na kuiheshimu mitandao ya kijamii!
Pia sheria za mitandao ziko vizuri na wahusika wanajitahidi kuthibiti maovu japo sio sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzuri nzuri hapa sawa...Pole sana kwa changamoto za biashara yako..Pambana utafanikiwa

Ushauri mzuri umetoa..

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…