Mkuu asante kwa kujali kwako na kuwa mmoja wa wafuatiliaji wa interviewsMkuu bora umekuja utupe majibu
Mambo mazuri zaidiTutegemee nini kipya mkuu?
Nami nilikua nahisi hivyo hivyo mkuu,maana zile interview zilikua zinawalenga wadada tu!Wenda alishapata alichokua anatafuta mkuu...
Hapa naomba nisiweke neno.Nami nilikua nahisi hivyo hivyo mkuu,maana zile interview zilikua zinawalenga wadada tu!
Life it self is a mission, hamna mtu anapoteza siku jf for nothing.Kwaiyo unataka kusema alikua yuko kwenye mission?
Kawala sana?Wenda alishapata alichokua anatafuta mkuu...
Haha.Hivi Dj Sepetu ndiyo yule Agrey anayeongozana na Wema Sepetu kila mahala??
trueWatu wameisha yeye alikuwa anahoji wadada
Mmmh! Una hakika Mzee babaaatrue
[emoji23] [emoji23] imebidi nicheke tuHivi Dj Sepetu ndiyo yule Agrey anayeongozana na Wema Sepetu kila mahala??
Mission Yangu jf ni kusherehesha na kutoa watu stress, you knowHapa naomba nisiweke neno. Life it self is a mission, hamna mtu anapoteza siku jf for nothing.
Una hakika ni wadada tuNami nilikua nahisi hivyo hivyo mkuu,maana zile interview zilikua zinawalenga wadada tu!
mezeaMmmh! Una hakika Mzee babaaa
Ndio maana nikasema nikasema hamna mtu anakaa jf bure, bila mission.Mission Yangu jf ni kusherehesha na kutoa watu stress, you know
Am here positivelyNdio maana nikasema nikasema hamna mtu anakaa jf bure, bila mission.