Mgaya hana kitu siku hizi. Tayari ameshakuwa substantive Secretary wa TUCTA kwa sasa anazuga tu. Wakati ule alicharuka alikuwa anakaimu, ukali wake utarudi karibia na uchaguzi wa kugombea cheo chake. Subiri mwaka 2015, atacharuka huyu utashangaa, hii ni kwa sababu mwaka 2016 ni uchaguzi wa TUCTA.