Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
tupo sambamba mkuu ila bado nahasira..
naomba usinialibie kikao ujue tumekupa hadhi kubwa,njo bila hasira uinjoy...vumilia tu si ulishindwa kutunza
WENYEVITI KAMATI NDOGONDOGO.
charminglady - mapambo.
badili tabia - vinywaji.
erickb52 - ulinzi.
judgement - jikoni(chakula).
kongosho - honeymoon location.
amyner - mweka hazina.
m jr - usafiri.
beibe nasty - zawadi.
NB. kama hujaridhika na kamati yako unaweza kubadilishana na mtu

bajeti yenyewe ya vinywaji bwana harusi aliyopropose hata togwa hupati......
Mwenyekiti wa kikao tafadhali himiza watu wachange kwa bidii, pleji mpya zinahitajika kufikia malengo
kikao chenyewe kimechelewa, hakuna vinywaji na mmekuja mmenuna, sie ndo tuliwatuma muoane?
Tatizo mama wa bw/harus mpaka sasa hajatokea....jamani Mama upo wapi
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
- Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
- Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
- Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
- Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
- Kufunga kikao-Mwenyekiti
WENYEVITI KAMATI NDOGONDOGO.
charminglady - mapambo.
badili tabia - vinywaji.
erickb52 - ulinzi.
judgement - jikoni(chakula).
kongosho - honeymoon location.
amyner - mweka hazina.
m jr - usafiri.
beibe nasty - zawadi.
NB. kama hujaridhika na kamati yako unaweza kubadilishana na mtu
Hun fasta basiii bby nshamaliza mieBw, harusi tuko njiani , tunakuja nampitia Beibe Nasty salon nimpik tuje.
Kila kitu katika kamati yetu, tulishaweka sawa jioni ya leo.
Bw, harusi tuko njiani , tunakuja nampitia Beibe Nasty salon nimpik tuje.
Kila kitu katika kamati yetu, tulishaweka sawa jioni ya leo.
Mwenyekiti mie najipa kamati ya sapraiz na mambo ya gafla ukumbin.
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
- Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
- Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
- Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
- Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
- Kufunga kikao-Mwenyekiti
Mura mbona mimi simo? Au mpaka nitoe ahadi ya kuwagharimia honemoon?