Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
- Thread starter
-
- #21
Hodi hodi humu ndani.................
nani kamanda kova angalia huku,we nani mwamnyange sogea hapa,nanii wewe mwema uko wapi....?we mwenyekiti wa ulinzi piga si uulize Nato wamefika wap?
aaa!...Bestman hutakiwi kuhangaika wewe unatakiwa uwe pembeni yangu tukiwa tumepiga sare za suti ya kufa mtu
Mwenyekiti mie najipa kamati ya sapraiz na mambo ya gafla ukumbin.
Nasty , humu ndani ya ukumbi kuna kelele nyingi, hebu toka nje ya ukumbi piga ile No niliyokupa waambie waongeze viti kama 40 hivi, angalia upande huu kumeanza kujaa,
fasta changamka!
Ruhazwe Jr , shughuli inaendelea kama ilivyopangwa, wapombekao waendelee kupombeka, hivi vijimikwarashombo, ni mafua tu flani.
Kuna vijana kama wawili wa hapa Jf na wawili kutoka fcbk wako field ya kujifunza kuandika tamthilia.
ruhazwe jr , shughuli inaendelea kama ilivyopangwa, wapombekao waendelee kupombeka, hivi vijimikwarashombo, ni mafua tu flani.
Kuna vijana kama wawili wa hapa jf na wawili kutoka fcbk wako field ya kujifunza kuandika tamthilia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahhatoki mtu hapa..mpaka mwizi aonekane