Live: Kutangazwa kwa mchezaji bora wa soka Afrika

Rais Buhari wa Nigeria ameshinda tuzo ya kiongozi bora wa kinchi kuchangia kwenye maendeleo ya soka barani Afrika kwa mwaka 2016
 
Sasa ni burudani ya Mr Flavour na Yemi Alade, wote wa Nigeria
 
Mbonamkookimya limeisha amadangote kashaaribu
 
Mchezaji bora wa soka wa Afrika kwa wanaocheza nje ya Afrika kwa mwaka 2016 ni Riyad Mahrez wa Algeria. Wa pili ni Aubemayang wa Gabon.Na watatu ni Sadio Mane wa Senegal.

Alamsik!
 
WACHEZAJI BORA AFRICA NDANI NA NJE
THX PIERE FOR UPDATES
 

Attachments

  • IMG_20170106_015705_561.jpg
    19.9 KB · Views: 36
  • default.jpg
    9.4 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…