Live kutoka TBC 1: Sherehe ya kuchangia ujenzi wa vyoo mashuleni

Live kutoka TBC 1: Sherehe ya kuchangia ujenzi wa vyoo mashuleni

Aiseeeee kuna broken english zinatandikwa huko mbaka kichwa kinaniuma.


"..... because there is no women teachers to teach girls...." Magret Sitta

Sent using Jamii Forums mobile app

Umezunguka koote sasa kwanini Kichwa chako cha Habari usingesema tu kwamba Mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Hayati Samuel Sitta Mama Magreth ana ugomvi wa miaka mingi ambao unaendelea kudumu na lugha ya Kiingereza ( hajui Kiingereza? )
 
hiyo pesa ya sherehe c ndo wangefanya ya ujenzi wa hivyo vyoo
 
Bilioni 3,hiyo si chenge tu anatoa,nakumbuka mh yona dhamana yake ilikuwa zaidi ya bilioni,hakika tanzania kuna watu wanamahela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom