Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo.
Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr.
Azam kuna middle moja hivi, middle ya kisasa inanikumbusha enzi zangu nikiwa nacheza Pale Morogoro. Dogo anatoa pasi huku anaukimbilia akiutaka tena.