Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Inshu ni muda na uchumi.ingekuwa vizuri kama timu zote zilizoshiriki zinge play each other ili tupate kuona ubora kamili wa wachezaji..
bingwa awe ni yule aliyekusanya alama nyingi zaidi kuliko wenzie!
Wanauza wachezaji sana. Mfano Diskson Job, Kibwana Shomari, Abtwalib Mshery nk.Mm Huwa najiuliza Mtibwa Sugar siku zote Academy Yao huwa yamoto sana, wanafeli wapi mbona timu ya Wakubwa ni mdebwedo?
Wanauza sana wale ni kama Southampton pale EPL au SalzburgMm Huwa najiuliza Mtibwa Sugar siku zote Academy Yao huwa yamoto sana, wanafeli wapi mbona timu ya Wakubwa ni mdebwedo?