Vipi atapiga magoti na leo au atamuomba maalimu nae amsugue?TV zote zinaonyesha pia angalia hapa
Wapiga kura za uraisi wanatoka Zanzibar nzima wakibebwa kuna shida gani sababu yeye sio mgombea ubunge .Hata angebeba watanzania wote toka bara ni sawa sababu kura za uraisi ni za nchi nzima unashangaa wapemba kwenda mkutano wa uraisi unguja au waunguja kwenda mkutano wa kampeni za uraisi pemba unashangaa nini?CCM ndembe ndembe kifo cha mende.
Fiesta ilikuwa Zanzibar.
Maroli yalijaza watu, mitumbwi ilijaza watu, ngalawa nk.
Magufuli hawezi shinda huu uchaguzi hata afanyeje.
Dunia imemkataa mbingu zimemkataa.
Huo ujinga kawambie kwenu.Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Ccm chama cha amani na maendeleo, vyama vya upinzani ni vyama vya vita