Live: Nusu fainali ya challenge cup

Uganda wanashambulia sasa, lakini ukuta wa kili umetulia. Kili wanakosa goli la wazi kabisa.
 
cecafa haiwezi kukubali tutolewwe......... watakula wapi?

Hizi inaonekana ni mbinu za cecafa kuhakikisha kombe linabaki au kili iingie fainali wapate mapato ya kutosha!
 
Naona Ngasa anaumia..anatolewa nje kwa machela..
 
Kaseja naye anapretend kuumia ili kupoteza muda. He is still on treatment
 
Mrisho Ngasa leo yupo safi sana!
 
Kaseja naye anapretend kuumia ili kupoteza muda. He is still on treatment

kaseja ni gamba kama wewe. dakika ya 30 unapoteza mda? badala ya kuwahamasihsa wachezaji wake kutafuta la pili, analala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…