VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Ndivyo mtakavyoitwa mdogo wangu.Hamna uchaguzi.Waambie na wengineMh hay a majina thatha
Uwe na adabu.Ama sivyo...Ha2taki majina ya k...nge uko xawa
Kirefu chake ni nini?Kwanini tusiwaite BRN...!!
Asante MkuuMkuu the choosen,
Awali ya yote nikupe pongezi kwa kutumia muda wako na raslimali kuja kutoa mwanga kwa vijana kuhusu chuo chao UDSM.
Kama kweli vijana watatumia fursa hii na kuuliza mambo mbalimbali, ni ukweli usio pingika kuwa vijana watakuwa na taarifa nyingi na za muhimu kuhusu chuo chao.
Nitoe wito kwa vijana wote wa mwaka wa kwanza watarajiwa; ni vyema mkaichangamkia hii fursa kwa kuuliza maswali, chuo kikuu kuna changamoto nyingi sana, hivyo ni wakati wenu huu kuuliza ili mtambue ni namna gani mtambana na changamoto za chuo na kufanikiwa kuhitimu ili muweze kufanikisha ndoto na malengo yenu.
Ni hayo tu vijana.
Kirefu chake ni nini?
Sawa.Tutaangalia kipi kitakuwa latestBig Results Now
Asante kwa swali lako zuri.1. Kiasi cha fedha cha kuja nacho chategemeana na daraja la mkopo utakalokuwa nalo.Mfano,kama una daraja A ambalo ni asilimia 100,huitaji kuwa na kiasi chochote cha malipo hayo. Labda uje na kiasi cha fedha za kujikimu wakati unasubiria mkopo wako yaani fedha za malazi na chakula aka Boom1Wakati wa kuripoti hapo napaswa kuja na kiasi gani cha fedha ili nilipe malipo ya direct?2.Nikilipia pesa ya accomodation,je nitapata room baada ya muda gani?
Swali zuri princess J. Kwanza jua kuwa kozi husika ziko Koleji tofauti. Ya kwanza ipo CoICT na ya pili iko CoET.Lakini,waweza kubadili kozi zako kwa kuandika barua kwa Mkurugenzi wa Shahada za Awali na kujibiwa.Lakini lazima uwe na sifa za kozi husika unayotaka kuhamia.Pia lazima kuwe na nafasi ya wewe kuhamia kozi husika-Mining Engineering.AsanteProcess za kubadilisha course frm computer science to mining engeenering
Mkuu Mabulangati,asante kwa hilo.Lakini,DARUSO fee hukatwa moja kwa moja na chuoNdugu the choosen katika kujibu swali la thema umesahau swali lake la direct costs ambazo ni medical fee 50000, caution money 20000, DARUSO fee 5000 etc ambavyo havihusiani na mkopo. Kama una bima ya afya ukiionesha basi haulipi hiyo Medical fee.
Mwaka wa kwanza wote watapewa chumba campus na mabibo.