LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA MADINI YALIYOKAMATWA KENYA

Acha kujiabisha bure, hizo dhahabu na hela zilinaswa zikisafirishwa na mtanzania mwenzenu kwa jina Patrick Ayisi Ngoi. Alizipitisha kutoka Mwanza kwa ushirikiano na mafisadi kutoka kwa vitengo vyenu vya usalama. Wazee wa ndemi na mathathi hawakukosea waliposema kwamba kikulacho ki nguoni mwako.
 
Sio Mwanza bali NBC Moshi
 
Magu kiboko kudadadeki..

Itakuwa hapa Uhuru kapigwa lile beat LA kimataifa..

"NOT TO THAT EXTENTS.!" rudisha hayo madini ndani ya saa24 vinginevyo nakuibukia!!

*Hongera kwa Uhuru...maana Moses Wetangula asingeyaacha
[emoji23]not that extents[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"..Mlinichagua ili niwafanyizie kazi..."
 
Magu kiboko kudadadeki..

Itakuwa hapa Uhuru kapigwa lile beat LA kimataifa..

"NOT TO THAT EXTENTS.!" rudisha hayo madini ndani ya saa24 vinginevyo nakuibukia!!

*Hongera kwa Uhuru...maana Moses Wetangula asingeyaacha
Acheni ushabik wa kimaandazi. Magufuli alishukuru vitengo vya usalama vya Kenya kwa kunasa dhahabu hiyo kabla haijafika Dubai(zilikuwa zinasafirishwa kuenda Dubai). Alihoji pia kuhusu utepetevu wa vitengo vya usalama vya Tz. Akiuliza ilikuwaje dhahabu zikasafarishwa kote huko hadi zikafika Mwanza na hatimaye Nairobi. Mbaya zaidi ni kwamba aliyeiba dhahabu hiyo ni mtanzania. Jina lake Patrick Ayisi Ngoi.
mkendelea hivyo, kukataa kuwa hot bed ya primitive capitalists (who obtain wealth by plundering and robbery) tutakuwa ndugu. Mtashangaa tumefungua boda zetu nanyi muingie na tikiti ya basi tu.
 

Mimi sifanyi ushabiki. Naongea uhalisia. wewe unafikiri kitendo cha mtu kukukamatia mwizi wako (hasa hasa anayekuibia demu wako 🤣 🤣 😛🙂) siyo kidogo. Ni jambo kubwa. Uhuru akiendelea kufanya hivi, he may try to clear the myth.
 
Wananchi wanahitaji kujua rais wao anafanya. Siyo kuanza kuwambia wakati wa kampeni. Wakati wa kampeni ni kuwakumbusha tu aliyoyafanya.
Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
 
Unajua walikuwa wanapeleka Kwa nani kwanini mlishikilia had I magu kanyooshea kidole Kenya ndiyo mnayaleta tz
 
yaani hadi marais wawili wamekubali uhusiano mzuri wa nchi yao mbili ila humu ndani kuna wabishi wanajifanya kupinga kila kitu Kiwe kizuri au kibaya.
 
Move it's loading!!! Hakuna jipya ila kenyata umeingia mkenge! Umeharib cv yako
Sidhani ni publicity stunt. Anaangaziwa sana kwa sababu ya kazi nzuri anayofanya na ujasiri wake pia. Kama ni publicity, angekuwa ametangaza wiki iliyopita kwamba anarudisha dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…