Live semi final Kenya vs DR Congo

Live semi final Kenya vs DR Congo

kwani hawaonyeshi kwa luninga za bongo (local channels)
 
DR Congo wanaongoza 1-0 dakika ni 60 huwa najiuliza hivi sisi tuna gundu gani yaani mashindano kama haya yenye zawadi nono tunashindwa hata kusonga mbele kweli Tanzania na Rasi wetu tumelaaniwa
 
Back
Top Bottom