Wadau wa soka kuna gemu kali kinoma (japo Taifa Stars tumetolewa) ya nusu fainali kati ya Kenya na DR Congo mwaweza kucheki live katika link hii hapa....
DR Congo wanaongoza 1-0 dakika ni 60 huwa najiuliza hivi sisi tuna gundu gani yaani mashindano kama haya yenye zawadi nono tunashindwa hata kusonga mbele kweli Tanzania na Rasi wetu tumelaaniwa