LIVE: Simba V/S Setif

LIVE: Simba V/S Setif

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Wazee japo soka la bongo linanikera sana.....leo nitaufuatilia hu mtanange....nawaombea simba washinde......mji wa setif ni baridi kali kwa sasa ni 9°C ambayo itawaathiri sana wana simba.....
 
Ewe Mola wetu tujalie sie waja wako ushindi leo hii Amina
 
Wadau kuna TV station yeyote inayoonyesha hii mechi?
 
Nyoso red kadi.dakika 36.bila bila.
aiseee...sijaona kosa alilofanya mopaka ale red...ila huyu nyoso ni anacheza rafu sana.....anyway kama ni ya simba ni simba tu....
 
kwa game hili simba anaweza kuchomolewa kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom