Nipo huku kwao lakini si uwanjaniUnaangalizia wapi mkuu?....
Game ya Simba mnaiona wapi?
Mmmh kazi ipoHiyo ni pronostic yake sasa ila hadi sasa Motema anaongoza moja bila.
Huenda yakarudishwa subiri tuone mwisho!Mungu tusaidie!!!!Dakika ya 59 sasa U23 Nigeria 2 TZ 0, mhhh utabiri wa mzee wa kamati ya ufundi naona sasa unaanza kuzama, hatari hiyo!!!!
Blantanda usituchanganye bwana watu tupo serious..........kandambili mlie tu
Well dk ya 66 Nigeria wanaongoza kwa goli 2Jamani mbona tunapata matokeo tofauti, halafu fafanulieni tumepigwa la pili simba au vijana?
Acknowledge basi kuwa umeichukua kwenye blogspoti ya shafii daudaMATCH UPDATE: DK YA 20, OKWI ANAKOSA BAO LA WAZI, KWA UJUMLA NDANI YA DK HIZI SIMBA WANAONEKANA KUTAWALA ZAIDI MPIRA.
DCMP VS SIMBA: KICK OFF
SIMBA 1ST 11: Kaseja, Kanoni, Maftaa, Nyosso, Yondani, Jerry Santo, Shija Mkina, Amri Kiemba, Okwi, Banka, Mgosi