Live stream diamond platnumz showz-dar live leo usiku.

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Tu wazima fans' Wa team no stress.
Wale Wa kwa Showz ya Leo ndani ya mjengo DAR LIVE-TONIGHT.Tutakuwa na DIAMOND P.
Utacomment kinachoendelea umo ndani kwa Whitehouse DARLIVEBABY.
Now preparations kwa kuzichanga Mitonyo tuende kwa showz GOD AKIPENDA.
SICHONGI SANA NI HAYO MAANDISHI YA GOLD.
 

Soma tena uandike upya! Haueleweki ...
 
Simba anaunguruma leo

Nikukatika tu Nasema Nawe
 
Vp tupe update mbona uzi umechina njoo hapa gas
 
Na usiku SIMBA akaanza kuunguruma kwenye live show

Wale walioangalia sound cheki walitanua kujitokeza kumsikiliza Simba aka Diamond Platnumz aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.







 













Halafu watu wasiojua kutaguta pesa na kujaa miwivu wanaulizaga kwanini anampiga picha...sasa unategema atauzaje kazi zake kupata pesa zaidi bila kizuri cha kuonyeshea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…