Live stream link ya mechi ya Taifa Stars leo

Inaonekana wameamua kuonesha mechi ya wanaCOSAFA original Angola vs Malawi kwa sababu za kibiashara.

Uwezo wao ni kuonesha mechi moja mubashara.
 
WANATAKA KULETA HUJUMA WATUTOE WAGENI WAALIKWA, HIVI SOUTH AFRICA WAPO SHIRIKISHO LIPI MBONA SIWAONI COSAFA?
 
Hujuma gani mechi mbili zinachezwa kwa pamoja wao wenye mashindano wanaonesha mechi moja kwa wakati mmoja.


Wameamua kuonesha mechi yenye mvuto wa kibiashara. Sisi ni waalikwa na Mauritius ni wa pembezoni.
 
Mbona hata kwenye mtandao haiineshi kama mechi hii inachezwa muda huu?
 
Anybody with the link...Kindly help please wengine tuko mbali na tunapenda nchi yetu regardless ya madudu ya viongozi wetu wanavyodumaza soka letu
No link ss9 wameipiga pembeni wanaonyesha ya malawi na angola. Ila bado bila bila. Check second to seclnd results via BESCORE APP
 
Anagalia tu matokeo mubashara kupitia app ya bescore nenda jwenye competitions andika cosafa weka on halaff all matches utapata kinachoendelea kila second
 
Mauritius wanaongoza kwa goli moja so sad
 
Tumesawazisha yaani 1 - 1 Ni SIMON MSUVA
 
WANATAKA KULETA HUJUMA WATUTOE WAGENI WAALIKWA, HIVI SOUTH AFRICA WAPO SHIRIKISHO LIPI MBONA SIWAONI COSAFA?
Wapo wameingia moja kwa moja robo fainali,watacheza na mshindi wa kundi la Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…