Live streaming bora kwa channel za Tanzania

Na akishakuwa nayo wat next!?
Akiwa nayo hapo atakuwa na uhakika wa app yake pamoja na matangazo yake kuendelea kuwepo playstore ila bila hivyo no...time will tell
 
Hapana, ukisoma privacy policy ya app yetu utajua namna tunavyopata hizo content.
Nakushauri nenda pitia policies za google vizuri then uone,maana wakiban account yako ndo permanent

soma hii

Copyrighted content​

"
We do not allow content that:

  • promotes any form of hacking or cracking and/or provides users with instructions, equipment, or software that tampers with or provides unauthorized access to devices, software, servers, or websites.
    Examples: Pages or products that enable illegal access of cell phones and other communications or content delivery systems or devices; products or services that bypass copyright protection, including circumvention of digital rights management technologies; products that illegally descramble cable or satellite signals in order to get free services; pages that assist or enable users to download streaming videos if prohibited by the content provider
"
 
Nitajitahidi kufanya hivyo
Ndugu hii app yako inabagua baadhi ya simu. Nina simu 2
1 infinix hot 8lite, hii inakubali kuonyesha hizo zote kasoro star TV
2 Samsung Galaxy s6 inaonyesha Azam pekee. Hizi zingine ukizifungua unaona rangi nyeupe tu.

Nifanyeje hasa kwenye hii Samsung?
 
Mkuu vip! Naona sikuhizi Azam tv, Wasafi tv, pamoja na super sport zote hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…