Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

mpalu unaweza ku refresh tu vocal zako na kila kitu kikaenda sawa...

bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi....hakuna kurudi nyuma ni kusonga mble tu.... nimetega mtego mpya....... muda si mrefu kitaeleweka....
 
Last edited by a moderator:
bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi....hakuna kurudi nyuma ni kusonga mble tu.... nimetega mtego mpya....... muda si mrefu kitaeleweka....

safi sana na hicho ndicho kinachotakiwa, ila huo mtego ungeutega hapa kwa hadharani ungenasa mapema zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…