cjaipata Excel keshanitapel! Labda utume tena!ile nanii umeipata? ile nliokutumia
ngoja niusome mchezo mie!nisiende res!si unajua mapenz wa babu na katotoo!naona mnaongea kizee zeee!! hahahaaaa!! charty i want to see your cheche now!
hahah huyu simchapi na kibakora,ngoja kwanza nimfanyie massage ya kichwa nimtoe mawazo!hah ful mahabatkwa tafsida tu, hujambo! hebu mpige kiwa t tuone na wewe!
cjaipata Excel keshanitapel! Labda utume tena!
hahah huyu simchapi na kibakora,ngoja kwanza nimfanyie massage ya kichwa nimtoe mawazo!hah ful mahabat
Duh!bado mnatongozana tuuu!!"""
kupata utapata ila vigezo na mashart kuzngatiwa!fanya hv muache huyo sha wako au ikshndkana mie niwe mke wa pil,ukfanya hvo ntakupa 24/7 #YOLO Kiwatengu!tuachane na hayo kwanza, ila usiongee kwa nguvu sha akisikia lazma are badilishe pin code, ujue jana niliziiba, sasa hivi kikojoleo kiko sawa, tuongee kiutu uzima sasa.
ntapata lakini?
sema waz hyo sentens yako tata jaman my swr potato!..hahah be open usaidiwe mzee wewe!ahaa...ninanii kidogo tu!
cjaipata Excel keshanitapel! Labda utume tena!
hahah na unavyomjulia mpaka ratiba yake ya kulala khaa sikuez excel!hivi anajielewa kweli mpaka sasa? hajalala huyu?..btw, komaa nae bana! chimba dhahabu kabisa!
hahah na unavyomjulia mpaka ratiba yake ya kulala khaa sikuez excel!
eti kiwatengu kasema kakupa tablet uniletee mie!.au bado unayo unaitumia,itabd kesho asubuh nipitie hapo dukan kwako niichukue!nini tena jamani? unataka nini kwangu we mtoto? sema....
hebu kagua mifuko hiyo! tuko mjini ati! sansa r akiamka kila kitu kinatibuka! kizee kina michuzi hicho!
dah mbona kamebana,kanaongea habar ya nane kwa nane tu!poch aongelei!we subr nimuone ataishia ap!
hivi wewe umekulia wapi? mbagala ndani ndani kule chamanzi mbande kwa mtogole karibu na kwa tumbo manzese ama??
hicho kizee kinakupa mawazo?? hebu fanya fasta kabla ya saa sita bana!! alaaa!! mke wake anabeba nondo ujue!!
ooh no! haiwezekani malikia! hivi itakuwaje uingie kwenye jumba langu la kifalme na kigari cha laki moja?
hii naipinga.. ntaipinga mpaka mama mkwe Lady doctor nae ajue!!!!!! itakuwa aibu sana!!
mkwe gari gani hiyo mwanagu anataka imekaa ka bajaji mnunulie hata ka audi q7 cha kuanzia maisha huo ushamba wake aurudishe boarding