Sijambooo
Nimekumisije?. Nilikuwa mbugani nafanya research.
wewe charty na miss neddy na Kibo10... niambieni, nini kinaendelea kati yenu?
miss neddy unaweza kuniambia yale maneno ya kibo ulikuwa unayapokea ili iwe vipi?
bado nakuangalia....
hapa miss neddy alikua ananibembeleza nicje nkamsemea kwako! Kua alichepukwa na so called kibo10, jamaa mbaya huyu! Kwel kuchapiwa ni sir ya ndan! Hata wewe bazazi Excel! Wamekuchapia kitu ako?
ua gf, is shiiit meeen!plz don judge me! Mie mjumbe tu!nimekuletea habar, and stop mention my swt name!evrytime, i told u to be wth me,u denied it, asa wacha yakukute Excelahaaa!! kijana, naona umepata pa kutolea shida zako eenh!
mmependana sana toka jana... Kibo10... charty.. na miss neddy..
i thought i had friends... even my gf is aargh!
utajua mbivu na mbich we miss neddy, i do respect u, lakn ulichokfanya kwa Excel,nimekushusha hahahah
we unatokea wapi tena? sijui nikutongozee?
upo lakini:rolleyez::rolleyez::rolleyez:
ebu jionee! Na usipotoa talaka,kwel utakua umechukuliwa kvul na miss neddy akaenda kukiloga,so mpaka uje ugundue hlo itakua kaz sana!shenz type kabisa... mi kutoka kidogo tu mmeanza kuchombezana???
enhee! niambieni mlikofikia?... mlipojificha, mlifanya nini?
qudadeki..... i dont feel this anymore!
u saw me in thr, cz i was tryn to avoid jahaz lako lisizame! Don quote me wrng Excel!tena unatkiwa unishukuru mie kwa kuwashushua hawa ma bazaz!miss neddy and kibo10whaaaat??? all these?? ...............
what should i do you now?
siku 2 tu kutoonekana aisee? Kibo10 vs miss neddy... you guys.. i even saw charty in,
iam going to the church to pray.. i dont feel like shedding blood.. go ahead..
yes lv her, but don lv me excel,cz unajua vile tunavyofanyaga hahahahmiss neddy!! charty and your brat boy Kibo10... iam living...!
thi is my word to you.. iam living.. i cant stand life sentence..
utan??? Unaofanana na ukwel! U miss neddy and kibo10! U cnt b crious!nyie dawa yetu tindkal!sana tu ikiwezekana mtake radhi umwambie ule ni utani tu pls do that
Safi sana mbuga zipi hizo
Udzungwa, uje home upitie nyama ya porini, uniambie na ile project umefikia wapi si unajua hatujamalizana?!.
ur the only woman who makes me happy!!