wachagga wana hiyo tabia ya kusaidiana hadi kwenye kutongoza
kama umejazwa gesi gani ile?😀😀😀😀
Yani hapa najisikia mwepesiii
kama umejazwa gesi gani ile?
Kama nimetoka kuchukua mabaki kncu...
Mhhh sasa wewe ndiyo unaanza tena kuwa mgumu?
Sema u kitu watu tupige makofi....
Wewe tupa shida kule..penda upendwe
Sipendi kukuona ukiwa mpwekeee
hayo maumivu mie ndo siyataki sasa
tukajifiche,tuhadithie baass