Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima


Nashindwa kujifanya sijaiona!
 
Hahahaha ngoja nitakufikiria
Jaribu kumfikiria kijana ni rafiki yangu wa ukweli ni mtu mzuri hana matatizo anajali mpe nafasi atulie,anapigwa na jua mpaka anapauka muangalie kwa jicho la tatu naamini atakufanya uifurahie dunia ya mahaba
 
Honey siyo kama unavyofikiria, ninaposema huduma kanitelekeza bila hata kunisaidia nipate mke, na aliahidi kunisaidia nikuoe, napata taabu sana sina mke mwenzangu Daudi1 ameoa juzi na ameturia, naomba nikuoe honey.
Dah pole sana ndugu yangu,jitahidi kumbembeleza mtoto umchukue huyo ameshalegea malizia
 
Mamie mie namuogopa maana namuona ni penda penda ataniliza jamani maana kila mwanaume humu ana kesi nae jamani naogopa nisije kufyatuliwa na mie

Nakuahidi honey sitakuumiza, mimi najua sana kupenda! Nakupa guarantee.
 
Haya poleeee. Usijali Honey faith atakuwa wako tu. Ila usijefanya michepuko, sababu katulia sana mrembo wa watu.

Asante sana best! Maana najisikia vibaya sana ndoa za watu nikiziyumbisha.
 
Hooooooney alikuwa ananifuatilia tu ili awe jenereta kipindi haupo, ila nilimkataa siwezi nikakusaliti si unajua navyokupenda sana?
Ona unajiuma uma hapa sasa,bora ulimuacha maana ungetafuta mbeleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…