Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

sasa mbona naambiwa kulea mbegu ya Window7? aisee unanichukuliaje? ntawafukuza mjini hapa in not time! lol!
no Mr.king ulisoma kwa makengeza tu lol!we una majukumu mengi siwezi kukutwika zigo hili Excel.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
na hivi Excel kawa JF GOLD MEMBER ujitahidi kulinda shosti angu la sivyo utaambulia kiteke hicho.

hahahahahah umeona eeeh lakini viteke nipigwe mara ngapi best wanajitahidi kunidokolea lakini jungu siwapi
 
Last edited by a moderator:
sijaona kama mmethibitishwa na kiwatengu... naona mnachezeana tu mwishowe akutie mimba halafu akuache.. hizo ni imagination kudadeki...! ngoja tuone..
mambo yakiwa ndani ya boksi kiwatengu lazma apewe taarifa
yaani nakwambia hivi Excel lazima nibadili historia ya my bebio Exceptional kuwa Gold member wacha niuze madafu yangu coco beach patatosha tu hapa kitu J.lee and Exceptional.
 
Last edited by a moderator:
mambo yakiwa ndani ya boksi kiwatengu lazma apewe taarifa
yaani nakwambia hivi Excel lazima nibadili historia ya my bebio Exceptional kuwa Gold member wacha niuze madafu yangu coco beach patatosha tu hapa kitu J.lee and Exceptional.

hata Window7 ulisemaga hivo ivo huku vidole juu .. '' ooo, mimi j.lee, hatotokea mwanamke wa kubeba kibabu wangu window' qudadeki... tukaona ulivyoachwa na kibendi!! hahahaaaa!!

hivi Exceptional yupogo au kafukuzwa kodi ya nyumba?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah umeona eeeh lakini viteke nipigwe mara ngapi best wanajitahidi kunidokolea lakini jungu siwapi
ha!ha!haa jitahidi my dia miss neddy watakupopolea tunda lako na unabahati nimejisajili rasmi #Teamrafiki la sivyo ungeitaja birthday ya bibi ako nakwambia.
 
Last edited by a moderator:
hata Window7 ulisemaga hivo ivo huku vidole juu .. '' ooo, mimi j.lee, hatotokea mwanamke wa kubeba kibabu wangu window' qudadeki... tukaona ulivyoachwa na kibendi!! hahahaaaa!! hivi Exceptional yupogo au kafukuzwa kodi ya nyumba?
Excel tengua kauli mi na vibabu kama Window7 wapi na wapi jamani?yani nlikua kipofu lakini Exceptional kabadili mtazamo wangu! infwact Exceptional yupo but nje ya nchi kaenda kuchukua bidhaa UK so busy busy kidogo akirudi ntakwambia.
 
Last edited by a moderator:
hahaaa!! siku ukerewe ni nje ya nchi? infwact, umenichosha! naondoka, familia nzima hamuna fweza! lol!
ha!ha!haa fweza ipo kama una multiple ID sema tufanye mambo na kule kwingine ha!ha!haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…