Mume yuko hapa pembeni, natokaje? naanzaje kuaga.
Unafanya nini hapa?
Nashukuru sana shem wangu ni kweli kama kupenda mnajua uzuri wangu, furaha na tabasamu vyoote ni kwasababu ya kakako...nampenda kwa moyo wangu wooote na akili Yang.nashukuru kumpata mke mweza aliyenipokea kwa roho safi..
Kwani ndugu zako wote anawajua? mwambie ni Mjomba wako kwa mama mdogo tumbo mjoa na bibi mkubwa ambaye ndiyo mama wa Baba mkubwa tumbo moja na shangazi ambae ndiye mama wa mdogo wako wa mwisho.
Mungu wangu!!
Wewe usijali akisinzia tu nijulishe nakuja fasta najuwa anapenda kulala mapema utafurahi mwenyewe.
Hahahahaaa huishi vituko wewe, yaani nikitaja tu ndugu watatu hapo na ruhusa nanyimwa.
Najiuliza kapatwa na pepo gani uyu mwanaume
Unataka ndoa iishe muda huu kwa kweli, hatolala muda huu. Nimekumbatiwa hapa hata nikijisogeza anashtuka. Pole
Na ubaki hukohuko
Hapana punguza hasira Ukibaki huko huko atakuletea michepuko..mruhusu arudi akueleze kwa nini anafanya haya...
Mkanye asirudie kwa maana pangechimbika hapa Leo mie mke wa mtu
narudia tena, sio MIMI!!! come down my love..
Kwani Kibo10 anataka akuchukue akakufanye nini usiku huu na hali hii ya hewa?