sijaingia kwenye huu uzi siku mingi sana whats nwe humu ndani
sijaingia kwenye huu uzi siku mingi sana whats nwe humu ndani
Hivi bado mnatongozana tu humu?????
Shemeji yangu Uran, umemuudhi sana shost wangu. Mwache apumzike, kesho utamweleza vizuri itabidi tufanye kikao kwa kesho.
Kuna watu wanataka kutoka njia kuu!
waangalie wasije wakachepukia korongoni wakasababisha ajali
Hivi bado mnatongozana tu humu?????
Tayari hapa inataka kuundwa tume huru ya kuchunguza ajari.
we acha tu, huu mtongozano huu, kidogo uzue tafrani kubwa.
na ikiundwa lazima niwe mwenyekiti aisee
vipi kwani mnaibiwa?