Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
thank you my queen!
you are my samboira you know!
Usifike huko anaweza kuja na maamuzi ya ajabu akaharibu na tume ikavunjika, tunatumia gharama kubwa sana! Naomba uvumilivu wako! Angalia cartoon na chukua wine unywe niko njiani nakuja.
Mawazo yataniua mwenzio,hapa nilipo nishaanza kum mis my huby lakini usimwambie
Kipenzi changu Bantu lady ni muda mfupi tumeagana kila mtu anaenda kazini kwake,nipo kazini lakini naona kama miaka kumi hivi hatujaonana barafu wangu!Popote ulipo,chochote ukifanyacho,elewa nakupenda,nakupenda,nakupenda malkia wangu!Mmmmmmmwaaaaaaaaa!
Mi sijayaelewa sasa

hooooney thanks, nilikuwa nakuwaza pia tena ile ishu tuliyoiongea usiku hahahaaaa.
Nakupenda sana wewe ni maisha yangu, kuna mvua hapa nilipo nakukumbukaje sasa.
Sikiliza shem wangu Valentina,kuna teknolojia mtu akilogin hata email unaweza kujua alikuwa eneo gani,sasa kwa hiyo th 03/04 inaonekana kuna mtu alilogin kwa account ya uran akiwa #Harare kwa Mugabe!Kwa siku hiyo uran hakuwa huko,hivyo inaonyesha wazi shahiri pasipo na shaka kuwa kuna mtu alihack account yake!Hata hivyo nimempa onyo kali sana abadilishe password yake mara moja na hasiiandike mahali aikumbuke tu kichwani!
Hivyo nakuomba Valentina rudi kwa mumeo,muonee huruma na hii mvua inayonyesha!Bado naendelea na uchunguzi kuweza kujua huyo aliyetaka kuvunja ndoa ya watu ni nani na apewe adhabu kali!
Ahaaa kumbe ndo ivo shem ee!! Sasa mi nikawa najiuliza huyu mume wangu kavamiwa na pepo gani
Ahaaa kumbe ndo ivo shem ee!! Sasa mi nikawa najiuliza huyu mume wangu kavamiwa na pepo gani
uran com kwa zis way plizi!Duuh! Sasa saiv atakua wapi? Nataman nimuone japo upande mmoja wa pua yake tu
Habar za humu ndan
Duuh! Sasa saiv atakua wapi? Nataman nimuone japo upande mmoja wa pua yake tu
niko hapa jamani..