Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mmh....
Afu nmekumbuka,mlete na mumeo nimkemee
Wako akiwa kwako! Akiwa nje ni ng'ombe wa maziwa.
Wako akiwa kwako! Akiwa nje ni ng'ombe wa maziwa.
koh koh koh
koh koh koh
ko hii inakuhusu na wewe
Naomba nije mimi ukemee ya kwangu maana yananisumbua sana.
koh koh koh
Afu nmekumbuka,mlete na mumeo nimkemee
Huku naona mmegandana kila mtu na wake
hata wewe unakaribishwa pia.
nimtongoze nani sasa
kwani we unampenda nani ninong'oneze nikusaidie kumshawishi.
huku wote wamebebwa, akija mcute mwingine kama wewe unisanue.
H aha ha ingekuwa poa sana tu nikawa nakosa mda wa kupost humu,ila siyo kukosa mda wa kufanya kazi za ajira yangu kiote nyausi hadhi ishuke,afu we ndukiikwanini unafikiria hivo.................. tungependana hadi ushangae
mda wa kupost picha zako jf usingeupata
ko hii inakuhusu na wewe