Eti nini kinaendelea hapa?
si huyu mdada eti anaugonjwa wa kushituka akimwona mkwe wako.
Mwambie ashindwa kabisaa
kwa nani sasa?
kwa mumeo au mumewe?
utanisemelea kwa nani tena ila asiwe my husband.
Mwambie ashindwa kabisaa
Heheee kwa yule jamaa
Sikamooo!
Sika mwenyewe kama unaona mali....wewe ndo unamchokoza binti yangu kipenzi?
Mamkwe inaonekana hupendi shikamoo wewe!
hujawahi tongozwa? niite watu?