bebi sio vizuri namna hiyo....
nimeshakuwa Kaka Jambazi tena...?
usifumndishe mtoto tabia mbaya...
bebi sio vizuri namna hiyo....
Heshims iwepo kwa mkwe wanguusifumndishe mtoto tabia mbaya...
Heshims iwepo kwa mkwe wangu
Kabanga look very much,
Huwa sipendi vimistari vyenu kwa mke wangu.
Vimistari vyenyewe havina hata nina. Nitauza ubongo wako
Shikamoo mkwe?
Kesho mwanao atakuletea vitenge na fedha milion moja ya kupeleka kwa fundi style uitakayo.
Heeee pole.
Hujui hata kuita baby vizuri kama vile huna meno, Mme wangu anaita vizuriii.....
Kabanga look very much,
Huwa sipendi vimistari vyenu kwa mke wangu.
Vimistari vyenyewe havina hata nina. Nitauza ubongo wako
Heshims iwepo kwa mkwe wangu
My mom yuko makini wala hanifundishi tabia mbaya.
pole nawe....!
mbona huniheshimu ninachokwambia....?
hayo ya kuita vizuri ni swaga tu za jamaa yako....mimi nitakupa matamu zaidi!