Shikamoo mkwe?
Kesho mwanao atakuletea vitenge na fedha milion moja ya kupeleka kwa fundi style uitakayo.
Yaninii.....
bebi acha utani, kumbuka tulipotoka lakini kabla ya huyu jamaa anaitwa Mwanyasi.....Wee baba weee hapo tu heshima yangu hupati.
hapo unakosea kabisaa.....ushawahi kusikia papuchi inapata moto ikipigwa sawa sawa... njoo ujaribu uone hakuna kulala...!Umezeeka huwezi wewe kazi aijua Mme wangu tu!
mbona hata wewe ni senior? au sioni vyema.
sema unataka mke?
Heheee mitongozo inazidi kasi....
Na wewe kumbe ume-note hilo... Watu wapo busy.
Wacha tuendlee kuona utam wa mitongozo....
Ni raha jamani kutongozwa!!!!
Ni raha jamani kutongozwa!!!!
Raha pia kutongoza hasa pale mlengwa anapolikubali somo kwa pozi pozi..
Raha ya pekee mke mwenzangu...lol
Umeona eeeh yani kuzungushwa zungushwa yani inaleta raha zaidi
Lakini wewe naona kama utakuwa mtukufu sana...
Mie ni mtukufu siku zote