you know the reason
We kijana unantafuta eeh?
mama mkwe una shida gani?
Aisee aiseee....unaona adabu yako ilivyo ndogo? Tena nisikuone kwangu hapa we Mtoto halali na hela
mama hapa ume over beat...
yaani umepiga mkwara mkali uliopitiliza..
Kama janeth1 sikumweka kwenye tumbo langu miezi tisa ataelewana na wewe
just a joke
Kama huna majina sasa umejuaje kwamba wanaotakiwa kuhojiwa siyo watu ambao wanastahili kuhojiwa toka TRA?
wewe binti....wenyewe wakikusikia....!
you know the reason
Waache tu wanisikie babu yangu.
mama mkwe una shida gani?
Weee nani mama mkwe wako? I knew this ndio maana mwanzo nlikataa kukupokea....watoto wa kambo mna shida sana au mista alibambikwa?