Kwa vitendo unavyonifanyia sidhani kama tutaelewana.
Mmh siamini macho yangu.
siri ipo baina yangu na yeye sasa.
we ndo unatania kusema kuwa mi na wewe ni ndugu
when time comes you will understand
Nina hudhuni leo kaka ananitenga kwenye familia, sitaki kusemeshwa nitakutukana bure....
Waache tu wanisikie babu yangu.
si hofu kutukanwa nawe hasa ikiwa kwa ajili ya mapendo....ah tukana tu!
una maneno....
umeshachagua...?Ngoja nikichagulie tusi..
competition...
mwenye kisu kikali tu sasa..
umeshachagua...?