kumzesha, au ukweli?
dady anapenda nikuchukue kwakuwa tabia zetu zinaendana....
Usidhani tena shemeji yangu huyu ndo dady.
au mwingine alikuwa mchepuko?
Weeeee me mom hajanifundisha hiyo tabia ya kusma mambo nisiyoyajua ngoja niondoke kwaherii..
Hahahahah....sasa mchepuko unakuwa mkali kwa mwenye mali lol
Swty njoo tulale mpnz wangu!
Ok honey nakusubiri!
Nyiye laleni huko mnaitana ma bby wakat kila mtu kalala na buzi lake
Tumeshalala kijana usiogope
Tumeshalala kijana usiogope
Yeye anatafuta nini usiku wote huu km sio michepuko?
Achana nae huyo swty!
Hahahaha mkuu muongo ungekuwa umelala ungetuma msg hyo
Hana wa kumkumbatia....mwache apigwe na baridi
Hahahahaaaa pole Yake!