Weka tangazo kabisa..,
bibi mbona waonyesha umepata wivu....?
Hapana napenda ufanikiwe uacha kunisumbua..
eh....sawa! kwani nakusumbua au...nafikiri natesti kwako je hujasahau kumdengulia mtu?
Hahahaaaaaaaaaaaaa babu weeeee.......
nini tena bibii......?
Umenichekesha babu.....
karibu tena....!
Wapi nilikowahi karibia babu?
wapi....?
Uzeeee kazii unaniuliza tena?
ndio unikumbushe....
Shkamoooooooo.......
mahabaaaa......hujambo mpenzi?
mahabaaaa......hujambo mpenzi?
Hahahahah....mahaba?
Hahahahah....mahaba?