Nani mpenzi wako babu?
ndio.....!
Hujielewi bado babu....
Nataka mfike kama wannę hivi...
Me niko pekeangu kwa Mme wangu wala siwezimpokea mwenzangu....hivo hata nisingekuwa na Mme we tusingeendana kabisaaa....
jipu kaka uko wewe?
wamekuchunia waite tenahaya mkimaliza salam zenu nakuomba mwanake yyote ani follow me plz aje huku chumbani pm
wamekuchunia waite tena
Chagua mmoja kati ya hawa unambie.... BADILI TABIA, cacico, Yummy, Kongosho.
Afu nina michepuko yangu unaweza kujichagulia mmoja kama itifaki itazingatiwa Khantwe, miss neddy, masai dada, Honey Faith, Eshy m.s
Ila kuna kichuna wangu kichunafk huyu huruhusiwi hata kumkonyeza.