Yan we mwanamke umeolewa na mwanaume mwingine na huku ulikoacha hutaki watu tujiweke...?!! kiwatengu futa bwana kwan shngapi
Khaaa mura mzembe huyu....endelea kusmile mwenzio utafiti anajilia vyake
haha inahuu hiyo haifutwi iachwe tu kama unajiweka ok but usijimilikishe mazima
Najiweka mazima tena namzalia mtoto kabisa
Khaaa mura mzembe huyu....endelea kusmile mwenzio utafiti anajilia vyake
unalipwa shi ngapi
no! sio uzembe khantwe!
unajua kuna authority flani nilimwachia miss neddy, kawa mbabe kweli kama mkurya wake!
sasa aliposema pasifutwe, paachwe hivyo hivyo nikakumbuka lugha za kijeshi tunazotumia kule KJ 321!
by the way, kiwatengu nakuagiza ufanye marekebisho as soon as possible!
No more drama...
Yan we mwanamke umeolewa na mwanaume mwingine na huku ulikoacha hutaki watu tujiweke...?!! kiwatengu futa bwana kwan shngapi
Mama weee, nafwa mie kwa pressure.
Honey usife...ntabaki na nani?
ohoo... Kumbe ndio haya? Mm ni spea tu
Kama una sifa hzi mwnamke karbu..uwe mcha mungu...mweupe au maji ya kunde..umbo la wastani si mnene wala si mwembamba..uwe na hips na ---- kimtindo..mrefu..umri miaka 23 mpk 25..ewe mdada kama una sifa hzi karibu sana..just inbox me..mm nko dar hapahapa
Unatafuta receptionist wa hoteli?
Baby nisamehe huyu alitaka kunichepusha eti