Wakat huu uzi unaandikwa nilikua bado mtoto wa shule so sishangaiMke wa mtu huyo ohoooo cheki huko juu
Pole unaota bana
Wakat huu uzi unaandikwa nilikua bado mtoto wa shule so sishangai
Na ndio nilikua naanza kuifaham jf
Mm na wewe tu bibie
Kama msukuma na michembe
Aaaa wewe tupia tuKwendraaaa ntatupia kapicha uchukiee ohooo
Ukiwaona hawa wasalimieAaaa wewe tupia tu
Ndio nafurahiii
Mm na ww tena
We ngoja siku nikipata kitu cha jang'ombe nivute uone nitakacho kufanyia..
Hahaaaa ww na kabwana kako umeamua kujionyesha eeh!!!
Hahaaaa ww na kabwana kako umeamua kujionyesha eeh!!!
Nikue mpaka wapi sasa
Hao wakubwa wana nywele za steelwire au
mm umri wangu unatosha..
Dogo wa mwili tuBado dogo bana,nywele za katani hujazipata
Mmh upara wa wapi?[emoji3]Dogo wa mwili tu
Si umri na vitu vingine...
Nina upala sasa hv
Kichwani bwanaa usijitoe akili
Kichwani bwanaa usijitoe akili
Haya Gardner
Aaah nitafuga ajili yako wiki mbili tu nitakua nishakua na mzigo kichwaniAah kumbe basi nikadhan zingine maana nshaanza kukuhurumia daah napenda ras[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Aaah nitafuga ajili yako wiki mbili tu nitakua nishakua na mzigo kichwani
Ww si una vifuu vya nazi kichwani..
Za wapi nizifuge sasa maana miguuni nishakua kama mbuziSio kichwan bana acha hizo