Wewe huna? Hiyo Bahati?Kuna watu wana bahati
Fanya utokeWeekend kama hii nna hamu na kamtoko
Kweli kabisaHapa unaweza kutongoza njemba
Haina noma maana huwa anaonekana mida ile ile night kaliLile windo la siku ile vipi mkuu kule kwenye uzi wa kulike??? aisee ukimuona mwambie nampa HI sana mkuu
Sasa Jangala Huna hata ukipendacho zaidi ya Uzuri?Yeyote yule ila awe mzuri....mm me
vipi Collins bado anachombeza tu??Haina noma maana huwa anaonekana mida ile ile night kali
Mh....vipi Collins bado anachombeza tu??
Swali zuri sana hiliUnapenda kusogezea wenzako tu?
Huo mguno v.i.p.i.??Mh....
Anaskendo inayobamba sana kule wanasema Cole Williams huwa anajifariji tu sio kuchombeza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]vipi Collins bado anachombeza tu??
Anamfaham vizuriHuo mguno v.i.p.i.??
Wewe hutafuti?Swali zuri sana hili
Basi nijisogeze kwakoUnapenda kusogezea wenzako tu?
Skendo tena, ametoa boko lini mkuu?? Haiwezekani akawa mshika pembe tuAnaskendo inayobamba sana kule wanasema Cole Williams huwa anajifariji tu sio kuchombeza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilisahau kakaUnajua kuwa na appointment mkuu.
We mwambie ya kumoyo afu umtag hakika atakuja mwenyewe haparubii yuko wapi aje nateseka mie
Sijatafuta sisi tumetafutana sammyluv kipenzi changu ukuje hapaWewe hutafuti?
Utamkuta tu kuleSkendo tena, ametoa boko lini mkuu?? Haiwezekani akawa mshika pembe tu
Angalia usiharibu appointment amenipromise utamu hapa sammyluv wanguNilisahau kaka