Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kuja tulonge sunshine...!Kumbe mlianza kupigana sounds kitambo, 2014 duh[emoji3]
Leteni mirejesho mliofanikiwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pisi yangu hapa JF nimesahau adi ID yake ila nakumbuka ilikua inaanziwa na P[emoji27]
Hii sound ya kitayolojia hahahahaLegeza nafsi bidada, kuzeeka hakumaanishi uwe mpweke, uzeeni ndiyo haswa unahitaji mtu wa kuwa pembeni yako muda wote unaohitaji, uspate nafasi ya kuwaza kila muda uko ocupied na kicheko. Bibi na babu zangu walikuwa wakioneana wivu hata walipokuwa kwenye miaka mia, babu akitoka pekeyake bibi ananuna "atakuwa ameenda kwa wanawake huyo", the beuty of old age is there is almost only true love...teh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuja? Au wengine ndo tuanze live mtongozo teh teh tehHuu uzi ulinishinda sababu nilikuwa na saccos kibao.
Jamani mlikuwa kina nani si mkuje nina kazi na nyie?
Yah nshapata.wewe umeshampata?
hongera πYah nshapata.
Asante.hongera π
hataree sanaPisi yangu hapa JF nimesahau adi ID yake ila nakumbuka ilikua inaanziwa na P[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you my moonlight, I'm coming.....π
Sasa utakua na wangapi mpenzi financial services !!!.Hebu ngoja nifanye haraka nije chumbani(PM) tumalizane maana hapa kuna watu hawachelewi kuharibuThank you my moonlight, I'm coming.....π
ππmkuu endesha mambo!Sasa utakua na wangapi mpenzi financial services !!!.Hebu ngoja nifanye haraka nije chumbani(PM) tumalizane maana hapa kuna watu hawachelewi kuharibu
Poa mpendwa...Furaha yangu ni kuona wewe unafurahi.Wanaokunyatia waambie wamechelewa.ππmkuu endesha mambo!
Ooh thank you dear driveπTutaelewana tu kidogokidogo...huyu financial services ninamkubali vibaya mno.Hope hatoniangusha
Hakika, tutakuja kushuhudia couple yetuuAchana na ushuhuda ...watu wamefanikiwa.Na sisi tusibaki nyuma,Hebu tuendeleze Couple za humu ndani bibie
Hawa wote wako wapi miaka hii? Siwaoni jukwaani hapa. Au walibadiri I'd?Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.
Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.
2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!
3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
Na hii hujitokeza sana pale ambapo unakuta kuna wapendanao kama Lady doctor na Arushaone wakishow malove yao, utasikia oh heri yenu mnaopendana au kutoa kauli nyingine kama hizo, ambazo ni za malalamiko.
Hakuna haja ya kulalamika tena kwani na wewe unaweza kuwa na Mpenzi na ukaonyesha malove ya nguvu.
Hii itakuwa habari njema kwa madomo zege pia, kwani kama huwezi utasaidiwa..
Kama kuna mtu umemwona kutoka jukwaa lolote lile hata la Sports, Siasa, Ujasiriamali, Kazi na Tenda n.k
Ukampenda na ukaona anakufaa wewe, mlete hapa couple itengenezwe!!!
Hakuna haja ya kushinda tena PM na ukaishia kula za uso...
Hapa vocal zinashushwa live live....
Baba V, Arushaone tuundieni kamati ya kufanikisha hili zoezi.
mwaka 2014 ni mwaka wa malove love.
Nawasilisha.
NB; hata walioko kwenye ndoa na hawazidumishi au hawaridhiki nazo!! u can create another one.
Couples ambazo zipo na zina exist
Ni hizi hapa na ni vyema zikaheshimiwa....
kiwatengu & shansarie
Tuko & jawilat (hii bado ni mpya sana) na ndoa itatangazwa muda wowote...
Valentina & Kiranga
Arushaone & Lady doctor
Judgement & YNNAH
watu8 & measkron
Filipo & marejesho
Erickb52 & Chocs (hawa huu mwaka wako kimya sana)...
sosoliso & Paloma...
Jerrymsigwa & amu (not verified yet).
Kaizer & DEMBA
Eli79 & KOKUTONA
Ruttashobolwa & Passion Lady..
Bishanga & The secretary (hii ni dormant kwa sasa)
The Boss & Kaunga (hidden)
King'asti & Paw
Mr Rocky &
nitonye & Arabela (hawa wameachana tayari)**
mkiva & Preety
Tyta & Eshy m.s (verified)
Mentor & mwallu (real in and out)....
Katavi & Husninyo (unlimited love)
Daudi1 & Angelicious
sungura1980 & Bantu lady (hongereni sana.) π
Jipu na charty (dumisheni uhusiano wenu mara kwa mara)..
Mokoyo & ICHANA
Mwanyasi & janeth1 (good sana)
Madame B & MO11
Ntuzu & Khantwe...
.......list bado inaendelea
Nyingine bado sijazisoma vizuri..
Ila na nyie mnaofuata hapa mseme status zenu isijetokea unapigwa vocal mara mbiili...
kabanga Vin Diesel Heaven on Earth Ablessed Munkari PakaJimmy Mtoto halali na hela Smile Mapi farkhina sidhani kama mko single labda mseme wenyewe..
Cc; Baba V Mamndenyi
Updates.....
2016.
Eddy Love & christine ibrahim.
nimwage mihela sioNdio unanitongoza hapo? ππ