Taratibu babySoma vizuri usikurupuke, hakuna ulichoelewa. Kazi gani wewe unafanya hapa jf kwenye huu uzi?
Eeh kumbe we msingle mwenzangu. Inabidi tuunganishe majeshi ili we ulime me nimwage mbolea tufurahie mazao yetu.Kwahiyo sisi tulio single humu inakuwaje?
Mweeeeeh!!Eeh kumbe we msingle mwenzangu. Inabidi tuunganishe majeshi ili we ulime me nimwage mbolea tufurahie mazao yetu.
Ndio ndio.Ndio formula jamani?
Aah hiyo sitaki.Chance by chance.
win win situation....
Huku kijijini hamna uber bwanaUtaagiziwa uber
Nauli muhimu.Oh...sasa unataka kukwea mwewe wewe?
Iliresti in pisi sasa hivi nitakuja na ingine matata sanaaaa subiri nipo naangalia angalia tu.Kapo yako ilikuwa ina utata sana πππ
Nikaenda chimbo lingine.Hivi kule si uliondoka wewe?
Nilichelewaanyone here tutotongozane!!!!
Haya haya tuwekeni record mpyaIweke wazi mapema iingie kwenye record za kudumu.