Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kwahiyo sisi tulio single humu inakuwaje?
Basi Mimi nilichelewa kuujua huu Uzi.Ila Nashukuru kuuona tu.Hapo hapo nikakutana na mtu ambaye hakika inaonekana tutaenda sawa.Hebu Espy Naomba tufungue ukurasa m1 Mimi na wewe ukinipa ridhaa ya kunipokea .Nami kwa dhati kabisa ya moyo wangu naahidi kua nawe kwa Hali.Ni hayo tu kwa Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…