Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Usiende PM mkuu utakiuka utaratibu.
njoo live, ukikwama unalainishiwa.
Mkuu nilikuwa sijapata muongozo, ila nina bahati mbaya sana... Nimezama PM kwa Karucee nikatega ndoano zangu za kutosha kisha nikajazia na nyimbo kali za malavidavi kutoka kwa msanii Don Nalimison lakini cha ajabu bibie anakuwa mgumu...

Sijui nimekosea wapi?? Msaada tafadhali kiwatengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…