Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ubuyuuu tuko nao na tunatambaa nao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF ina mambo uduguu nimeagiza popcorn 🍿
Na wewe nikuwekee order??
 
Kama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweliπŸ˜‚

Lakini mm namtomgoza depal nimpeleke wapi. Depal si boya tu kama maboya wengineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama hajawaambia?
Then u launched an unnecessary attack kwa depo😏😏. When are you going to say goodbye to this unhealthy drama.?
Nampenda fake p😍
πŸ•΅οΈπŸ•΅οΈSavagee

Weekend iko njema?

Unaiharibu weekend ndani JF
 
Nishakuambia sasa... Walishakujua we ni kipendapenda unatongoza na wake za watu... Na style zako za u dc uchwara... Endelea utajikuta mtu kati wakutafune google....
Nawapenda warembo wote😍
Nitatumia nguvu zote na uchawi mkubwa kuwapata
Hawa wameletwa kwa ajili yangu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ cocaaa njoo bhana nataka uniambie km umekubali kumuita huyo mtoto jina langu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…